TANZANIA NA SAUDI ARABIA KUSHIRIKIANA KATIKA UHIFADHI WANYAMAPORI
Ujumbe
wa Serikali ya Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii
Mhe. Lazaro Nyalandu (Mb) katika mazungumzo na Mwana wa Mfalme wa Saudia
Prince Bandar bin Saud bin Mohammad Al-Saud ambaye pia ni Rais wa
Mamlaka ya Wanyamapori ya Saudi Arabia. Wengine katika picha kutoka
kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhem Meru;
Balozi wa Tanzania Saudi Arabia Prof. Abdillah Omari; Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. James Lembeli;
Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii Mhe. Peter Msigwa; Mkurugenzi Mkuu
wa TANAPA Allan Kijazi;Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori Herman Keraryo
na Afisa wa Ubalozi Ndg. Sufian.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (Mb) akisisitiza jambo
katika mazungumzo na Mwana wa Mfalme wa Saudia Prince Bandar bin Saud
bin Mohammad Al-Saud ambaye pia ni Rais wa Mamlaka ya Wanyamapori ya
Saudi Arabia.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhem Meru (kati) akiongea
katika mazungumzo baina ya ujumbe wa Tanzania na Saudi Arabia. Kulia ni
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe.
James Lembeli na kushoto ni Balozi wa Tanzania Saudi Arabia Prof.
Abdillah Omari.
Mwana
wa Mfalme wa Saudia Prince Bandar bin Saud bin Mohammad Al-Saud ambaye
pia ni Rais wa Mamlaka ya Wanyamapori ya Saudi Arabia akiongea katika
mazungumzo hayo.
Mkurugenzi
Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akichangia jambo katika mazungumzo hayo.
Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori
Herman Keraryo; Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii Mhe. Peter Msigwa;
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe.
James Lembeli na Balozi wa Tanzania Saudi Arabia Prof. Abdillah Omari.
Ujumbe
wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro
Nyalandu (wa tatu kushoto) ukiwa katika picha ya pamoja na Mwana wa
Mfalme wa Saudia Prince Bandar (wa nne kushoto) jijini Riyadh, Saudi
Arabia. Wengine kutoka kushoto ni Balozi wa Tanzania Saudi Arabia Prof.
Abdillah Omari; Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhem
Meru; Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii Mhe. Peter Msigwa; Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. James Lembeli;
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi na Mkurugenzi wa Idara ya
Wanyamapori Herman Keraryo.
Ujumbe wa Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia ukifuatilia mazungumzo hayo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kulia) akiwa na mazungumzo
na (kutoka kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhem
Meru; Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira
Mhe. James Lembeli na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii Mhe. Peter
Msigwa muda mfupi kabla ya kuanza kwa mazungumzo baina ya Tanzania na
Saudi Arabia jijini Riyadh, Saudi Arabia.
Post a Comment
HOME